DARASSA ft BEN POL lyrics

(Intro) Rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni 255 champion boy niite mbwana samata Verse 1(darasa) wanaoota mapembe waongezee mkia na ukinibeep tunakupigia let me make one thing clear blaa blaa sitaki kusikia sio simba sio chui sio mamba ngozi yangu inatosha kujigamba na sina maneno ya kwenye kanga kazi juu ya kazi yani bamba tu bamba … Continue reading DARASSA ft BEN POL lyrics

SENZENINA lyrics king kaka

Senzeninaaaa Senzenina senzenina ×8 Okay, King kaka Foot prints kando ya bahari nikiskia syphone ya maji. Vile samaki na boat zina dance, kweli Mungu ana kipaji. But all good things ziko na mwisho, I think the end ndio huitwanga Kifo. Ulienda kama worrior, sababu we ndio ungetuwakilisha. Lini unamaliza quest, ni lini unaitamatisha? Already kuna … Continue reading SENZENINA lyrics king kaka